https://andro.io/app/app-jzfv
Power 100
Android app profile
Smart Growth Diary for Android – Latest Version & Features
by Fabstech
★★★★★
(0 ratings)
Rate this app
How do you feel about Smart Growth Diary?
Thanks for your feedback!
> 2.2k
Monthly Downloads
~$900
Estimated Cost
Screenshots
About Smart Growth Diary
Ni programu inayotumika kunasa taarifa za ukuaji wa mtoto chini ya umri wa miaka 5.Mzazi au mlezi utatakiwa kuingiza taarifa sahihi za mtoto kama uzito, urefu aina ya chakula unachompatia mtoto kwa kiasi kipi na mda gani.Hivyo programu itakupa tathimini ya mpangilio mzuri wa mlo lishe wa mtoto unaotakiwa kumpatia kwa siku.Ili uweze kujiunga na programu ya "SGD" mzazi au mlezi atatakiwa afike katika kituo cha afya kilicho karibu yakena kufanya usajili wa kujiunga kwa kuingiza taarifa sahihi za mzazi na mtoto.